FBI imesema maafisa wa usalama wanatumia vibali vya msako huko New Orleans na maeneo nje ya jimbo la kusini la Marekani Louisiana katika uchunguzi wa shambulizi la vifo wakati wa mwaka mpya.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari