Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 23:40

Russia yavurumisha makombora 81 Ukraine, yaharibu mfumo wa nishati


Russia yavurumisha makombora 81 Ukraine, yaharibu mfumo wa nishati
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Russia yavurumisha makombora 81 ya masafa marefu na kuharibu mfumo wa nishati wa Ukraine huku Belarus ikidai kuwa imetishiwa na Ukraine.

Marais wa Kenya na Tanzania wakutana na kujadiliana namna ya kuondoa vikwazo vya biashara kati ya nchi hizo mbili.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG