Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 17:07

Putin azishutumu nchi za Magharibi kwa kuzidanganya nchi masikini


Putin azishutumu nchi za Magharibi kwa kuzidanganya nchi masikini
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Rais wa Russia amezishutumu nchi za Magharibi kwa kuzindanganya nchi maskini ambazo zina shida kubwa ya chakula baada ya kufikia makubaliano ya kusafirisha nafaka nje ya Ukraine.

Wakuu wa nchi na serikali pamoja na wadau wengine kwenye sekta ya chakula na kilimo wanaendelea kujadili Kigali changamoto za ukosefu wa chakula.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.

XS
SM
MD
LG