Watalaam na wadau wa kilimo wanajadili suala la usalama wa chakula barani Afrika wakati baadhi ya nchi ziko katika hatari ya baa la njaa. Na kuangalia nini kifanyike kuzalisha chakula cha kutosha kwa wananchi wa Afrika Mashariki.