Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 05:33

Rais Biden aonya wamarekani kuwa waangalifu dhidi ya Monkeypox


Rais Biden aonya wamarekani kuwa waangalifu dhidi ya Monkeypox
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Virusi vya Monkeypox vimevuta hisia za Rais wa Marekani Joe Biden, ambaye alisema Jumapili kwamba watu wanapaswa kuwa waangalifu dhidi ya ugonjwa huo ambao una uwezekano wa athari mbaya ikiwa utaenea zaidi.

XS
SM
MD
LG