Rais wa Marekani Joe Biden na Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol waashiria kuonyesha nguvu zaidi za kijeshi huku kukiwa na mfululizo wa majaribio ya hivi karibuni ya makombora ya Korea Kaskazini na jaribio linalowezekana la nyuklia.