Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 24, 2024 Local time: 02:11

Haki ya Kupiga Kura Marekani: Kumbukumbu ya Martin Luther King Jr.


Haki ya Kupiga Kura Marekani: Kumbukumbu ya Martin Luther King Jr.
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:59 0:00

King alikuja kuwa mashuhuri katikati ya mwaka wa 1950 akiwa mhubiri kijana akiongoza kwa mafanikio juhudi za kukomesha ubaguzi katika usafiri wa mabasi ya umma huko Montgomery, Alabama.

XS
SM
MD
LG