No media source currently available
Kampuni kubwa ya umeme imeaanza kuzima umeme kwa mamilioni ya watu katika jimbo la California hapa Marekani huku mamia ya wafanyakazi wa zimamoto wakijitahidi kuuzima moto huo jumanne kabla ya upepo mkali uliotarajiwa kutokea