No media source currently available
Wachambuzi, wanasiasa na wamarekani kwa ujumla wanatathmini kuhusu kauli ya rais Marekani Donald Trump kusema mazungumzo ya pande zote katika bunge kuhusu gharama za ujenzi wa ukuta ni kupoteza muda.