No media source currently available
Mvua kubwa ambazo zilinyesha jana Jumatano kaskazini mwa jimbo la California zinatarajiwa kudumaza juhudi za kutafuta kwenye majivu na vifusi mabaki ya waathirika wa moto mkubwa