Sekta za Uchumi na uwajibikaji nchini Malawi vinaisihi serikali kushughulikia dosari katika mfumo wa ununuzi wa umma.
Kulingana na ripoti ya shirika la Transparency International ya mwaka 2023, mataifa mengi ya Afrika yanashuhudia kudumaa kwa juhudi za kupambana na ulaji rushwa, au kushindwa kupiga hatua dhidi ya ufisadi.