Radio
19:30 - 20:29
Ziara ya Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani katika nchi za Afrika yamulika mzozo wa Rwanda na DRC.
Ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken katika nchi tatu za Afrika yaangazia changamoto za Rwanda na DRC. Na ziara hiyo inachangiwa na nia ya Washington ya kuzihakikishia nchi na viongozi wa Kiafrika kuwa wao ni washirika muhimu wa Marekani.
21:00 - 21:29
Kwa Undani: Maoni ya waandishi wa habari kuhusu uchaguzi wa Kenya, ziara ya Blinken Afrika na msako wa FBI nyumbani kwa Trump
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.