Rais Trump atangaza ujio wa Rais wa Ukraine Ijumaa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump amesema Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy atakuwepo Ikulu ya White House Ijumaa kusaini mkataba wa kuiwezesha Marekani kupata madini nyeti.

Kundi kubwa la watu wakimbia DRC kufuatia mashambulizi ya risasi Bukavu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari