Waziri wa Masuala ya Kibinadamu azuru maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko kuratibu misaada
Waziri wa Misaada ya Kibinadamu, DRC, Adolp Mutinga akiongoza ujumbe wa serikali kutoka Kinshasa. Picha na Austere Malivika
Majeneza yakabidhiwa kwa ajili ya wahanga wa mafuriko huko Kivu Kusini. Picha na Austere Malivika
Eneo ambalo nyumba zimeharibiwa na mafuriko na maporomoko huko Kivu Kusini. Juhudi za kutafuta miili ya wahanga wa janga hilo zikiendelea.
Wananchi wakiwa katika eneo la makaburi kuwazika waliofariki kutokana na mafuriko huko Mkoa wa Kivu Kusini, DRC.
Eneo la Mkoa wa Kivu Kusini huko DRC. Picha na Austere Malivika
Wananchi wakiwasili katika eneo la kutoa misaada huko Kivu Kusini.Picha na Austere Malivika
Misaada ya Kibinadamu ikiwa imewasili Mkoa wa Kivu Kusini kwa ajili ya waathirika wa mafuriko na maporomoko huko DRC.
Misaada ya Kibinadamu yawasili Mkoa wa Kivu Kusini kwa ajili ya waathirika wa mafuriko na maporomoko huko DRC. Picha na Austere Malivika
Eneo la Mkoa wa Kivu Kusini, DRC. Picha na Austere Malivika
Eneo la Mkoa wa Kivu Kusini, DRC. Picha na Austere Malivika
Eneo la Mkoa wa Kivu Kusini, DRC. Picha na Austere Malivika
Wananchi wakishiriki kuzika miili iliyopatikana baada ya mafuriko Kivu Kusini. Picha na Austere Malivika
Wananchi walioathirika na mafuriko wakiwa katika eneo la kupokea misaada. Picha na Austere Malivika