WASHINGTON BUREAU Mkutano wa Joe Biden na waziri mkuu wa Sweden Ulf Kristersson
Your browser doesn’t support HTML5
Tunaangalia ziara ya waziri mkuu wa Sweden Ulf Kristersson hapa Washington alikutana na Rais Joe Biden kupata uungaji mkono kwenye ombi la taifa lake kujiunga na NATO kabla ya mkutano wa mataifa wanachama wa NATO nchini Lithuania.