Tanzania yazindua kampeni ya kutokomeza ukatili na mauaji dhidi ya watoto, wanawake

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima wa Tanzania anaeleza nini kitakachowezesha kutokomeza ukatili na mauaji ya wanawake na watoto katika jamii. Tafiti zinaonyesha unaotokana na wivu wa kimapenzi na mfumo dume.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea repoti kamili juu ya mikakati ya serikali ya Tanzania ikishirikiana na wanaharakati kutokomeza maovu hayo na ushauri kwa wanaume.