Wandamanaji wamemeandamana mjini humo na kukaa nje ya ofisi za tume ya uchaguzi wakidai kwamba tume hiyo imejazwa mawakala wa rais Felix Tshisekedi.
Wanachama wa upinzani DRC waandamana nje ya ofisi ya Tume ya Uchaguzi Kinshasa
Your browser doesn’t support HTML5
Shughuli za kawaida zimeathirika katika mji mkuu wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, polisi wakikabiliana na wafuasi wa upinzani walioandamana kulalamika namna tume ya uchaguzi ilivyoundwa.