Viongozi wa Afrika wakubaliana kuongeza uwekezaji katika sekta zitakazo changia kuzalisha rasilmali watu

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa mataifa ya Afrika wanahudhuria mkutano wa rasilmali watu barani Afrika nchini Tanzania, wamekubaliana kuongeza uwekezaji katika sekta zitakazo changia kuzalisha rasilmali watu.

Rais wa Russia Vladimir Putin ataijadili Ukraine na viongozi wa Afrika.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari