Uingereza na Rwanda zatia Saini mkataba mpya wa waomba hifadhi

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza James Cleverly ametia saini mkataba mpya na Rwanda siku ya Jumanne akijaribu kukabiliana na uamuzi wa mahakama wa kuizuia sera tata ya serikali ya Uingereza ya kuwapeleka waomba hifadhi katika taifa la Afrika Mashariki.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

#rwanda #uingereza #mkataba #hifadhi #wahamiaji #wakimbizi #voa #voaswahili #dunianileo