Siasa na utawala Kenya: Mswaada wa Kumfungulia Mashtaka Naibu Rais

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii makala ya Jarida la Wikiendi inaangalia siasa na utawala nchini Kenya, kufuatia mswaada wa kutaka kumfungulia mashtaka na kutaka aondolewe ofisini Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gashagua umeidhinishwa na Bunge, umefikishwa kwenye Baraza la Seneti na hatima yake bado haijulikani.

Wiki hii makala ya Jarida la Wikiendi inaangalia siasa na utawala nchini Kenya, kufuatia mswaada wa kutaka kumfungulia mashtaka na kutaka aondolewe ofisini Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gashagua umeidhinishwa na Bunge, umefikishwa kwenye Baraza la Seneti na hatima yake bado haijulikani. Ungana na waandishi wetu kutoka Marekani, Kenya na Tanzania katika uchambuzi wa suala hili na masuala mengine... - - - - -