Ungana na mwandishi wetu akikuletea mafanikio ya operesheni hiyo ya kuwaondoa raia wa Marekani na shukran za serikali ya Marekani kwa wafanyakazi wake waliotekeleza majukumu yao kwa ujasiri na weledi mkubwa nchini humo. Endelea kusikiliza...
Serikali ya Marekani yawapongeza wafanyakazi wake waliotekeleza majukumu ya kuwaondoa raia Sudan
Your browser doesn’t support HTML5
Msafara wa Umoja wa Mataifa ulikuwa umebeba watu 700 na kukamilisha safari ya hatari ya kilomita 850 kutoka mji mkuu Khartoum unaokabiliwa na mapigano hadi bandari ya Sudan.