Sikiliza maelezo ya afisa wa Bunge la Kenya kuhusu marekebisho yaliyofanywa na serikali kwa kuzingatia wito wa wananchi.
Serikali ya Kenya yalegeza msimamo wake mkali kuhusu mswaada wa fedha
Your browser doesn’t support HTML5
Serikali ya Rais wa Kenya William Ruto inaonekana kulegeza msimamo mkali wake kuhusu mswaada wa fedha wa mwaka 2023 baada ya Kamati ya Fedha ya Bunge kuwasilisha mapendekezo mapya.