Serikali ya Afrika Kusini yatangaza kusitisha hali ya kitaifa ya janga la mgogoro wa umeme

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Afrika Kusini yasitisha hali ya kitaifa ya janga iliyotangazwa kwa ajili ya mgogoro wa umeme. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maelezo kuhusu hatua zinazochukuliwa na serikali kupunguza athari za mgogoro wa umeme.

Pia utaweza kusikia habari kuhusu Baraza la Seneti la Nigeria limeidhinisha benki ya maendeleo ya China kama mfadhili mpya wa mradi wa reli nchini humo. Na mengi tuliyokuandalia katika repoti hii. Endelea kusikiliza