Rais wa uturuki asisitiza anaendelea na juhudi za kuleta amani kati ya Russia na Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan ameueleza mkutano wa muungano wa nchi za Asia kwamba nchi yake inaendelea na juhudi za kuleta amani kati ya Russia na Ukraine.

Mkutano huo unaofanyika Astana, Kazakhstan, ambako Rais wa Russia Vladimir Putin anatafuta kuungwa mkono katika vita yake dhidi ya Ukraine,