Rais Ruto awafuta kazi mawaziri isipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya William Ruto amewafuta kazi mawaziri wote isipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje.

Muungano wa NATO umesema hauwezi kuruhusu vita kutokea Ulaya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari