Rais Ruto asema kuanzia mwisho wa 2023 wananchi wa Comoros wanaweza kuingia nchini bila visa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuanzia mwishoni mwa mwaka 2023 wananchi wa Comoros wanaweza kuingia nchini bila visa ikiwa ni makubaliano ya pande mbili.

Mivutano ya rangi katika mji wa pwani wa Sfax nchini Tunisia imegeuka ghasia ikiwalenga wahamiaji kutoka barani Afrika chini ya jangwa la Sahara.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari