Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Rais Putin aendelea kuchukua msimamo mkali juu ya Ukraine
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati jumuiya ya kimataifa ikiendelea kuiwekea vikwazo mbalimbali Russia, Rais Vladimir Putin anaendelea kuchukua msimamo mkali dhidi ya Ukraine.