Rais Biden akihutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Marekani
Hotuba ya Biden katika Bunge la Marekani baada ya kukamilisha siku 100 tangu achukuwe madaraka.
Makamu wa Rais Kamala Harris na Spika wa Baraza Ła Wawakilishi Nancy Pelosi wakimsikiliza Rais wa Marekani Joe Biden.
Mke wa Rais Joe Biden, Jill Biden akimpongeza mumewe wakati anatoa hotuba.
Wabunge wa Chama cha Republikan wakimsikiliza kwa makini Rais Biden.
Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin akimpongeza Rais Joe Biden wakati akitoa hotuba.
Rais Biden akihutubia kikao cha pamoja cha bunge la Marekani.
Rais Biden akipongezwa na Makamu wa Rais Kamala Harris na Spika wa Baraza Ła Wawakilishi Nancy Pelosi baada ya kumaliza hotuba yake.
U.S. President Joe Biden kiwa anaondoka baada ya kumaliza hotuba yake.
Rais Joe Biden akisalimiana na Mwakilishi Maxine Waters, Mdemokrat.(D-CA)
Spika Nancy Pelosi wa California, akimkumbatia Makamu wa Rais Kamala Harris huku Mwakilishi Maxine Waters, D-Calif akiwa karibu.
Rais Joe Biden akiwasalimia wabunge.
Maseneta wakielekea katika ukumbi kusikiliza hotuba ya Rais Biden.