Raia kutoka nchi za maziwa makuu na Afrika mashariki waishio Canada waunda shirika la kukuza Kiswahili

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika hilo liitwalo Kiswahili Network Canada lina wanachama 150. Baadhi ya malengo yake ni kuunda chombo cha habari cha wanaozungumza Kiswahili, na kuwafunza Kiswahili watoto waliozaliwa Canada, kama anavyoeleza Juma Manirambona, naibu mwenyekiti wa shirika hilo