Mhandisi wa China asema Treni ya aina ya kipekee kuanza kutoa huduma 2023

Your browser doesn’t support HTML5

Ujenzi wa reli hii ya kibiashara ulianza mwaka 2022 na kukamilika mwisho mwa mwaka jana.

Treni hii inatarajiwa kuanza operesheni za kibiashara baadae mwaka huu. Ungana na mwandishi wetu akikuelezea faida za treni hii ambayo hutumia miundombinu iliyopo juu, ikiwemo kupunguza misongamano ya magari na vyombo vingine vya usafiri.