Marekani imesema haihusiki na mauaji ya kiongozi wa Hamas

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Marekani imesema kuwa haihusiki na mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas Ismail Haniyeh aliyeuwawa jana nchini Iran.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari