Majeshi ya Russia yaishambulia Kharkiv kwa makombora
Your browser doesn’t support HTML5
Mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine, Kharkiv umeshambuliwa na majeshi ya Russia Jumatatu kwa makombora, huku gavana wa eneo hilo akisema jengo mmoja na makao makuu ya uongozi yameharibiwa