Warundi hao walikodiwa kuja kumuua mwanamazingira. Katika kesi hiyo waliondolewa washtakiwa saba na kubakia na washtakiwa kumi na moja walikwenda katika utetezi na mpaka leo maamuzi yametoka.
Mahakama Tanzania yatoa hukumu ya kunyongwa waliomuua Wayne Lotter
Your browser doesn’t support HTML5
Ripoti ya Mahakama: Wanasheria katika Mahakama moja nchini Tanzania wanaeleza mchakato wa kesi ya Wayne Lotter. Mahakama hiyo imetoa hukumu ya kunyongwa watu 11 kati yao mwanamke mmoja na pia akiwemo raia wa Burundi wawili ambao walikutwa na hatia ya kumuua mwanamazingira Wayne Lotter.