Maandalizi ya sherehe za kuapishwa Biden na Harris zakamilika

Jengo la Bunge la Marekani likiwa tayari kwa sherehe za kuapishwa Rais mteule Joe Biden huku uwanja ukiwa umepambwa kwa bendera katika viwanja vya  National Mall Jumatatu, Jan. 18, 2021. in Washington, DC.(Foto: AP)

Rais mteule wa Marekani Joe Biden (kulia) na mkewe Dkt Jill Biden wakihudhuria Kumbukumbu maarum ya COVID-19 katika viwanja vya Lincoln Memorial mjini Washington, DC, Januari 19, 2021 kuwaenzi wale waliofariki kutokana na COVID-19. ​(Photo by Patrick T. FALLON / AFP)

Makamu Rais mteule wa Marekani Kamala Harris (wapili kushoto) na mumewe Douglas Emhoff na Rais mteule wa Marekani Joe Biden (kulia) na mkewe Dkt Jill Biden wakihudhuria Kumbukumbu maalum ya COVID-19 katika viwanja vya Lincoln Memorial mjini Washington, DC, Januari 19, 2021 kuwaenzi wale waliofariki kutokana na COVID-19. ​ (Photo by Jim WATSON / AFP)

Makamu Rais mteule wa Marekani Kamala Harris (wapili kushoto) na mumewe Douglas Emhoff na Rais mteule wa Marekani Joe Biden (kulia) na mkewe Dkt Jill Biden wakihudhuria Kumbukumbu maalum ya COVID-19 katika viwanja vya Lincoln Memorial mjini Washington, DC, Januari 19, 2021 kuwaenzi wale waliofariki kutokana na COVID-19.

Mandhari ya Viwanja vya Lincoln Memorial mjini Washington, DC, Januari 19, 2021 baada ya Rais mteule Joe Biden kumaliza kuwaenzi wale waliofariki kutokana na COVID-19.​REUTERS/Callaghan O'Hare TPX IMAGES OF THE DAY

Rais mteule Joe Biden katika kituo cha Walinzi wa Taifa cha Major Joseph R. "Beau" Biden III National Guard/Reserve Center, Jumanne, Jan. 19, 2021, in New Castle, Del. (AP Photo/Evan Vucci) (Foto: AP).

Maelfu ya bendera za Marekani zimewekwa katika viwanja vya National Mall, ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kuwaenzi raia wa Marekani waliofariki kutokana na virusi vya corona (COVID-19), karibu na Bunge kabla ya kuapishwa Rais mteule Joe Biden's,  mjini Washington, U.S., Januari 18, 2021. REUTER/Carlos Barria (Foto: Carlos Barria / Reuters)

Usalama umeimarishwa katika Mtaa wa Pennsylvania wakati wa maandalizi ya sherehe za 59 za kuapishwa Rais mteule Joe Biden na Makamu wa Rais mteule Kamala Harris Jumatatu, Januari 18, 2021 katika Bunge la Marekani mjini Washington. (AP Photo/Carolyn Kaster)

Maandalizi ya uwanja unaotumika katika sherehe za kuapishwa Rais mteule Joe Biden (Foto: Reuters)

Mamia ya Walinzi wa Kitaifa wakiwa ndani ya Kituo cha Wageni cha Bunge la Marekani kuimarisha usalama Bungeni mjini Washington, Jumatano Jan 13, 2021. (AP Photo/J. Scott Applewhite)

Jengo la Bunge la Marekani likiwa tayari kwa sherehe za kuapishwa Rais mteule Joe Biden na Makamu Rais mteule Kamala Harris Jumatano huku uwanja ukiwa umepambwa kwa bendera katika viwanja vya  National Mall mjini Washington.