Kura ya Maoni Kenya

Kura ya Maoni Kenya

Mabishano makali yamejitokeza kutokana na mapendekezo ya katiba mpya inayopigiwa kura Augusti 4 nchini Kenya. Hivi ni baadhi ya vipengele ambavyo zimezusha ubishani mkubwa, hamasa na uhasama baina ya wanaounga mkono na wanaopinga.