Kenya yajikita katika mradi wa teknolojia ya usafiri isiyozalisha gesi chafu

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya ambayo ni nchi inayoongoza kiuchumi Afrika Mashariki imechukua miradi yakutegemea pikipiki zinazotumia umeme, ikiwa ni mojawapo ya juhudi zake za kugeukia nishati mbadala na kuchukua nafasi ya mbele katika kanda hiyo kama kitovu cha teknolojia ya usafiri usiozalisha gesi chafu.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea hatua za mradi huo na vipi utaweza kusaidia wananchi kuokoa muda wao katika kutekeleza majukumu yao. Endelea kusikiliza... #kenya #mradi #pikipiki #nishati #nishatimbadala #uchumi #kitovu #gesichafu #mazingira #voa #voaswahili #dunianileo