Kenya: Wanaharakati wajitokeza kulaani mauaji ya mwanasheria mtetezi wa haki za binadamu Eswatini
Your browser doesn’t support HTML5
Wanaharakati wa Kenya waitaka serikali ya Eswatini kuwajibika kufuatia mauaji ya mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Thulani Maseko kwa kupigwa risasi.