Kampuni ya Kenya Enda yajipatia umaarufu duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Kampuni ya Enda inayotengeneza viatu na mavazi ya kukimbia analenga kuinua sifa ya Kenya duniani kama bingwa wa mbio za masafa kwa kutengeneza viatu huku akitoa ajira kwa Wakenya.