Kampeni za mwisho mwisho zashika kasi katika kambi ya Warepublikan na Wademokratiki

Your browser doesn’t support HTML5

Zikiwa zimebaki chini ya wiki moja uchaguzi mkuu wa rais ufanyike Marekani, huku wagombea wakiendelea kufanya kampeni za mwisho mwisho.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajia kufanya kikao cha dharura hii leo.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari