Kagame avunja bunge la Rwanda

Rwanda Members of Parliament

Rais Paul Kagame wa Rwanda amevunja bunge la Rwanda kulingana na ibara ya 79 ya katiba ya nchi hiyo, kwa matayarisho ya uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa mwezi Septemba tarehe 2.

Tume ya uchaguzi sasa inatarajiwa kutangaza siku rasmi ya kuanza kampeni itakayo wahusisha wagombeaji 521 kuwania viti 80 katika bunge.

Mwandishi wa idhaa ya Kiswahili Kennes Bwire amezungumza na mwandishi wetu wa Rwanda Sylivanus Karemera na kuanza kwa kumuuliza sababu za Rwanda kuandaa uchaguzi mwezi Septemba wakati kulikuwepo uchaguzi mkuu mwaka jana 2017.

Endelea kusikiliza mahojiano hayo...

Your browser doesn’t support HTML5

Kuvunjwa kwa bunge la Rwanda