Uchaguzi wa Awali wa Jimbo la Iowa, Marekani

Mgombea wa chama cha Republican Donald Trump

Mgombea wa chama cha Democrat Hillary Clinton

Mgombea wa chama cha Republican Ted Cruz

Mgombea wa chama cha Democrat Bernie Sanders

Mgombea wa chama cha Republican Marco Rubio

Mgombea wa chama cha Republican Donald Trump

Mgombea wa chama cha Democrat Hillary Clinton

Wagombea wa urais wa Marekani wajaribu kuwashawishi wapiga kura kwamba wanastahili kuteuliwa kuwa wagombea kabla ya uchaguzi wa awali wa jimbo la Iowa kumalizika.