Wanasheria wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump wamesema watakata rufaa dhidi ya jopo la ushauri wa mahakama ya kumkuta na hatia Trump ya kumnyanyasa mwanamke kingono na kumkashifu mwandishi wa habari.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari