Ibada maalum kumuombea Seneta McCain yafanyika Washington

Jeneza la Seneta John McCain likiwasili katika Ibada maalum kwenye Kanisa la National Cathedral, Washington Septemba 1, 2018.

Jeneza la Seneta John McCain likiwasili katika Ibada maalum kwenye Kanisa la National Cathedral, Washington Septemba 1, 2018.

Kitabu cha Seneta John McCain kikiwa juu ya bendera katika makaburi ya mashujaa wa vita vya Vietnam.

Familia ya Seneta John McCain katika ikiwa tayari kuingia kanisa la National Cathedral kwa ibada maalum, Washington, Septemba 1, 2018.

Rais mstaafu Barack Obama akimuenzi Seneta John McCain katika ibada maalum iliyofanyika katika kanisa la National Cathedral Septemba 1, 2018.

Rais mstaafu George Bush akimuenzi Seneta John McCain katika ibada maalum iliyofanyika katika kanisa la National Cathedral Septemba 1, 2018.

Viongozi mbali mbali wastaafu waliotumikia serikali ya Marekani wakihudhuria ibada maalum. 

Kwaya ikitumbuiza katika ibada maalum ya kumuenzi Seneta John McCain katika kanisa la National Cathedral, Washington  Septemba 1, 2018.

Cindy McCain, kushoto, na mtoto wake Jimmy McCain, kulia, wakiwa nyuma ya jeneza la Seneta McCain, mara baada ya kuwasili katika kanisa la National Cathedral kwa ajili ya ibada maalum ya kumwaga, Washington, Jumamosi, Septemba 1, 2018.

Roberta McCain, mama yake Seneta John McCain, akiwa anahudhuria ibada maalum ya kumuenzi mtoto wake katika kanisa la National Cathedral  Washington, Jumamosi Septemba 1, 2018. 

Ibada maalum iliyoandaliwa na familia kumuaga McCain imefanyika Jumamosi huko katika kanisa la kitaifa la Cathedral, Washington.