Historia ya Maisha ya Marehemu Jimmy Carter

Historia ya Maisha ya Jimmy Carter

Njia ya Kuelekea Urais

Rais wa 39 wa Marekani

BAADA YA URAIS

Rais wa zamani wa Marekani, Jimmy Carter ambaye alihudumu kwa muhula mmoja tu madarakani kutoka 1977 mpaka 1981, katika kipindi cha urais ambacho kilikuwa na changamoto za uchumi na mzozo wa matekani nchini Iran.