Eneo linalojulikana kama kapu la chakula la Kenya laathiriwa na ukame

Your browser doesn’t support HTML5

Mkulima Kenya aeleza jinsi hali ya hewa ilivyo badilika na kuwa akieleza kuwa ameandaa ekari 100 za mahindi na maharagwe, kinyume na miaka mingine alipokuwa akilima ekari 200, akihofia mazao yataharibika iwapo mvua itachelewa.