Blinken asema Marekani na Rome ziko tayari kuisaidia Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken asema Marekani na Rome ziko tayari kuisaidia Ukraine katika vita na Russia.

Namibia yatarajia kufanya uchaguzi wa saba kesho katika uchaguzi wa rais na bunge.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari