Biden alaani uvamizi wa Russia na kuhimiza uungaji mkono wa Ukraine
Your browser doesn’t support HTML5
Hotuba ya kwanza juu ya hali ya kitaifa ya Rais wa Marekani Joe Biden alilaani uvamizi wa Rais wa Russia Vladimir Putin nchini Ukraine na kuhimiza uungaji mkono wa pande zote mbili za kisiasa Marekani kwa nchi hiyo.