Biden aahidi kudhibiti ongezeko la bei ya mafuta Marekani lililoletwa na uvamizi wa Putin

Your browser doesn’t support HTML5

Kufuatia mzozo unaoendelea kati ya Russia na Ukraine bei ya mafuta imepanda kwa kiwango kikubwa huku Rais wa Marekani Joe Biden akiahidi kufanya kila atachoweza kudhibiti ongezeko la bei lililoletwa na uvamizi wa Putin Ukraine.