#BALonVOA2021 : Zamalek yashinda kwa pointi 94-76 dhidi ya Ferroviaro

Your browser doesn’t support HTML5

Muhtasari wa yaliyojiri katika Mechi ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) 2021 Jumatatu huko Kigali, Rwanda wakati wa mchezo baina ya timu za Zamalek ya Misri iliyopata pointi 71-55 dhidi Ferroviaro de Maputo ya Msumbiji.