BAL 2022: Timu ya mpira wa kikapu ya Guinea yachukua ushindi mwingine
Your browser doesn’t support HTML5
Washindi wa mechi ya ufunguzi ya BAL ya msimu wa pili timu ya Seydou Legacy Athletique Club (SLAC) ya Guinea wamepata ushindi mwingine dhidi ya Ferroviario da Beira ya Msumbiji, kwa jumla ya pointi 90-74 siku ya Jumamosi.